Wakuu katika mambo ambayo mwanaume anapaswa kua makini nayo ni kutoruhusu ukaribu wa marafiki zake na mkeo...
Babu alinambia hii ndo aibu kubwa sana alowahi pitia katika muhula wa maisha yake na aliamua kuvunja ndoa na hakutaka tena kua na marafiki mpaka anakufa.
Hivo wakuu tuweni makini sana na marafiki zetu, ikiwezekana hata namba za wake zetu tusiruhusu wawe nazo maana ndo unaweza kua mwanzo wa fitna

Comments
Post a Comment